π·πΊπ Vyuo vikuu 10 vya Urusi viko Dar Es Salaam, tayari kukujuza juu ya elimu nchini Urusi! π« Leo ilikuwa siku ya kwanza ya Maonyesho yetu ya Elimu. Jumba la Urusi jijini Dar Es Salaam lilifurika. Vijana wa Kitanzania wanajua jinsi elimu ya Urusi ilivyo ya kiwango cha juu. Na haina gharama. Masomo ya wanafunzi wa kigeni hufadhiliwa na Serikali ya Shirikisho la Urusi. Je, unataka kujua mengi zaidi? β‘οΈ Siku ya jumanne, Maonyesho yetu ya Elimu yatafanyika katika Chuo cha Huduma za Jamii, na pia katika Chuo cha Teknolojia cha Dar Es Salaam, β‘οΈ Jumatano tutakuwa Dodoma, β‘οΈ Siku za alhamisi na ijumaa, kule Zanzibar. π± Angalia bango la matangazo. Njoo! Chukua hatua ya kwanza kuelekea kwenye maisha yako yenye mafanikio!