Russian House in Dar es Salaam

@rtcctanzania ยท English ยท active

Subscribers 792 Subscribers, last 30 days: 792 โ†’ 792 โˆ’1 24h
Reach per post (ERR) 16.7%132 avg views
Posting 1.6/day last 16 hours ago
Reactions per 1K views 27.9 โค ๐Ÿ‘ ๐Ÿ”ฅ

Nvchini Tanzania kuna Wamasai, Wachaga, Wazaramo, Waluguru, Wasambaa. Nchini Urusi, je? ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Nchini Urusi, kuna Warusi, Watatari, Waburyati, Wayakuti na wengine wengi. Makabila 200! Na huu ndio umoja. Katika huo, ndimo ilimo nguvu yetu. Tanzania na Urusi ni nchi zenye makabila mengi yaliyo na tamaduni mbalimbali. Tulijadili hili na wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu cha Tanzania, na tukawaeleza kuhusu Siku Kuu ya Umoja wa Kitaifa. ๐ŸŽถ Hamis Masudi, mwanafunzi wa kozi ya lugha ya Kirusi, aliimba nyimbo mbili - "Muwanga" na "Farasi" kwa Kirusi fasaha kabisa. Pia tuliendesha chemsha-bongo juu ya hali halisi na mila za baadhi ya makabila ya nchi yetu kubwa โ€“ Urusi. Tuliandaa Maonyesho ya "Urusi Asilia". ๐Ÿค Vijana walikiri kwamba nchi zetu hizi hakika zina mengi ya kufanana - lugha anuwai, tamaduni, na hata mila. Jambo la msingi na muhimu zaidi li katika kudumisha urafiki na kuheshimiana; ndiyo nguvu kuu. Heri ya Siku Ya Umoja Wa Kitaifa!

Views over time

0501001504 Nov 07:0210 Nov 20:281184 Nov 07:02: 0 views10 Nov 20:28: 118 views
Snapshots we took after posting.
WhenViews
4 Nov 2026, 07:020
10 Nov 2026, 20:28118

Who shared this post

Posts in other channels we index that link to this one. (Forwards with a hidden source can't be traced.)

Nobody yet.