๐๐ณ "Tamasha letu la Ikolojia" lafana! โ๏ธ๐งซ Kulikuwa na kila kitu: majaribio ya kisayansi, mihadhara, filamu za uhalisia, chemsha-bongo, zawadi. Lilijaa bashasha, mambo ya maana na ya kusisimua sana! ๐ฒ Pekua kurasa za picha, uipate hali halisi ya hafla hiyo.