Russian House in Dar es Salaam

@rtcctanzania Β· English Β· active

Subscribers 792 Subscribers, last 30 days: 792 β†’ 792 βˆ’1 24h
Reach per post (ERR) 16.7%132 avg views
Posting 1.6/day last 16 hours ago
Reactions per 1K views 27.9 ❀ πŸ‘ πŸ”₯
edited

πŸ“šπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Waziri apewa vitabu vya Kirusi, katika lugha ya Kiswahili! ✨ Kwa heshima kubwa tulimkabidhi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania, Profesa Adolf Mkenda, mkusanyiko wa fasihi asilia ya Kirusi. 🀝 Niliguswa kwa namna ya kipekee kabisa kusikia, kutoka kwa Mheshimiwa Waziri: "Je, wewe ni kutoka Kituo cha Urusi cha Sayansi na Utamaduni? Najua mnatafsiri vitabu kwa Kiswahili. Hilo ni jambo kubwa sana, na tunathamini. Spasibo!" πŸ“– Hafla hiyo ilifanyika katika Maktaba ya Taifa ya Tanzania, wakati wa ufunguzi wa β€œMkutano wa Nne wa Maendeleo ya Huduma za Maktaba”. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ—‚πŸ’» Kwa taarifa tu, Maktaba ya Taifa ya Tanzania (TLSB) tayari inaendeshwa kidijitalI. Na hivyo ni vizuri sana!

Views over time

010020030022 Oct 07:0910 Nov 20:2823322 Oct 07:09: 0 views10 Nov 20:28: 233 views
Snapshots we took after posting.
WhenViews
22 Oct 2026, 07:090
10 Nov 2026, 20:28233

Who shared this post

Posts in other channels we index that link to this one. (Forwards with a hidden source can't be traced.)

Nobody yet.