Russian House in Dar es Salaam

@rtcctanzania ยท English ยท active

Subscribers 792 Subscribers, last 30 days: 792 โ†’ 792 โˆ’1 24h
Reach per post (ERR) 16.7%132 avg views
Posting 1.6/day last 16 hours ago
Reactions per 1K views 27.9 โค ๐Ÿ‘ ๐Ÿ”ฅ

Ungana nasi katika EcoFest ya Urusi, Jijini Dar Es Salaam!๐ŸŒฟ โš—๐Ÿƒ Gundua maajabu ya sayansi na uendelevu katika hafla ya kusisimua iliyojaa matukio- shirikishi na yenye kuelimisha. Haijalishi wewe ni shabiki wa sayansi, ni mwanafunzi, au una shauku tu juu ya ikolojia, kuna kitu kwa ajili yako! Hafla hii inaendeshwa kwa pamoja na Karpinsky geological class katika Tanzania. ๐ŸŽ‰ Utarajie nini: โœ… Onyesho la filamu โœ… Chemsha-bongo โœ… Tuzo โœ… Wakufunzi wa Urusi na Tanzania. ๐Ÿ“… Siku: Tarehe 23 Oktoba โฐ Muda: Saa 9:00 alasiri ๐Ÿ“ Mahali: Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi, Barabara ya โ€œSea Viewโ€, Nyumba Namba 1 (karibu na Daraja la Tanzanaiti). Wageni wote watakirimiwa kwa Chakula cha jioni! Njoo wewe na familia yako, pamoja na marafiki zako; mfurahie alasiri yenye mengi ya kujifunza, kufurahisha, na pia kupata marafiki wapya. Tunatarajia kukutana nawe hapa! Jisadili kwa kutumia linki: https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeynFhWwOaAu-LtwPb0AXpUjBs1W0o84vpWK8ohHb_lOjyRCw/viewform

Views over time

010020019 Oct 15:0810 Nov 20:2818819 Oct 15:08: 0 views10 Nov 20:28: 188 views
Snapshots we took after posting.
WhenViews
19 Oct 2026, 15:080
10 Nov 2026, 20:28188

Who shared this post

Posts in other channels we index that link to this one. (Forwards with a hidden source can't be traced.)

Nobody yet.